permanent
adj -a kudumu. ~ wave n mtindo nywele wa kutia mawimbi ya kudumu. permanently adv. perm n (colloq abbr for) 1 (permanent wave) mawimbi ya kudumu. 2 (football) mabadiliko ya mpangilio wa bahati nasibu wa wachezaji. perm vt tia nywele mawimbi ya kudumu. permanence n kudumu. permanency n 1 kudumu. 2 kitu cha kudumu.