perjure

vt (reflex) ~ oneself sema uwongo (baada ya kuapa kusema ukweli). perjurer n mtu asemaye uwongo (baada ya kuapa kusema ukweli). perjury n kosa la kusema uwongo (baada ya kuapa kusema ukweli).