periscope

n periskopu: darubini ya kuonea juu ya upeo wa macho inayowezesha mtu aliye katika nyambizi n.k. kuona nje ya upeo wa macho yake. periscopic adj -a periskopu.