periphrasis

n 1 kuongea kwa mafumbo/kuzungukazunguka. 2 (gram) kutumia mafungu badala ya maneno ya mkato k.m. fanya aanguke badala ya `angusha.' periphrastic adj.