period

n 1 kipindi. 2 wakati.3 (kuingia) hedhi/mwezi. 4 nukta; kituo kikuu. 5 (gram) sentensi kamili. 6 kipindi cha ugonjwa. 7 (astron) muda wa mzunguko mmoja. 8 (in school) kipindi. periodic adj 1 -a muhula, -a kipindi, -a kurudiarudia, -enye kutokea kwa vipindi. 2 -enye aidini. ~ic table n jedwali ya dutu/elementi kwa uzito wa atomu na tabia za kawaida. periodical n jarida (litolewalo kila baada ya kipindi fulani). periodically adv kila baada ya kipindi fulani.