perfect

adj 1 kamili, timilifu, -enye kila kitu. 2 bila kasoro. 3 sahihi; safi. 4 timamu (attrib only); zima; hasa. 5 -liofikia kiwango cha juu kabisa. 6 (of grammar) timilifu. perfectly adv kabisa, vizuri kabisa, barabara. vt kamilisha. perfectible adj -enye kuweza kukamilishwa, -enye kuweza kusahihishwa. perfectibility n. perfection n 1 ukamilifu. 2 upeo. 3 usitawi. 4 ubora. perfectionism n nadharia ya ukamilifu. perfectionist n 1 mtu aaminiye kwamba mwanadamu anaweza kushinda. 2 (colloq) mtu asiyeridhika na chochote mbali na anachofikiri kuwa ndicho.