perch

perch

1 n 1 kitulio cha ndege. 2 (colloq) wadhifa wa juu (alio nao mtu) come off your ~ acha kujikweza. 3 (also rod, pole) kipimo cha urefu, aghalabu juu ya ardhi, yadi 5½ vt,vi tua; kaa juu ya; (chiefly in pp) (of buildings) -wa juu ya (kitu kilicho juu).

perch

2 n nile ~ n (fish) sangara.