peon

n 1 (in India and Pakistan) tarishi; askari (wa zamu). 2 (in Latin America) mlowezi, kibarua. 3 (hist) mtumwa (Marekani). peonage n uajiri wa vibarua/watumwa.