pension

pension

1 n (F) kiinua mgongo; pensheni, malipo ya uzeeni. draw one's ~ chukua/jiwekea pensheni. on (a) ~ pata pensheni. vt lipa pensheni. ~ somebody off lipa pensheni, staafisha mtu. pensionable adj -a kustahili pensheni. pensioner n mpokeaji pensheni.

pension

2 n nyumba ya kupangisha. en ~ kama mpangaji.