penology

n elimu ya kifungo na adhabu za malipo; taaluma ya adhabu za sheria na uendeshaji wa jela.