penny
n 1 (until 1971 UK) sarafu yenye thamani ya 1/12 ya shilingi. 2 thamani ya 1/100 ya pauni; 1/5 ya shilingi. 3 (US colloq) senti. 4 (phr) (cost) a pretty ~ pesa nyingi. in for a ~, in for a pound ukishaanza jambo huna budi kulimaliza. (be) ~-wise and pound foolish wa mwangalifu katika mambo madogo lakini mfujaji wa makubwa. a ~ for your thoughts vipi? take care of the pennies and the pounds will take care of themselves kubwa hutokana na dogo. turn/make an honest ~ pata riziki kihalali. 5 (compounds) penny-a-line adj (maandishi) dhaifu, duni. ~ dreadful n (colloq) riwaya ya thamani ndogo. penny-pincher n (colloq) bahili. ~pincking adj bahili. ~ whistle n filimbi. ~-worth n kiasi cha thamani ya peni. a good/bad ~ worth bei nzuri/mbaya. 6 spend a ~ (colloq) kojoa. The ~ dropped maana ilieleweka. penniless adj fukara, siye na senti hata moja, hohehahe.