penal

adj -a adhabu. ~ servitude n kifungo na kazi ngumu. ~ code n kanuni ya adhabu. ~ colony/ settlement n makazi ya kuadhibia. penally adv. penalize vt 1 adhibu, tia hatiani. 2 ~ize something (for something) taabisha, onea, pa adhabu. penalization n. penalty adhibu n 1 adhabu inflict ~ty ~ty clause (comm) ibara ya adhabu katika mkataba. on/under ~ty of death, etc kwa adhabu ya kifo n.k.. 2 (sports) penalti. ~ty area eneo la adhabu/penalti.