pen
pen
1 n 1 kizizi, ua, kizimba, tundu. 2 kizimba cha nyambizi. vt funga. ~ somebody up/in funga (kama) katika kizizi/ kizimba.pen
2 n 1 kalamu (ya wino). 2 (mtindowa) uandishi; kazi ya uandishi. 3 (with compounds) ~ holder n mpini wa kalamu. ~ and ink vifaa vya kuandikia. pen-and-ink adj -liochorwa kwa kalamu na wino. ~-friend/~-pal n rafiki wa kalamu. penknife n kisu kidogo cha kukunja. penmanship n sanaa au mtindo wa kuandika. ~-name n lakabu. pen-pusher n (colloq) karani. vt andika (barua n.k.).