pelt
pelt
1 n ngozi ya mnyama ikiwa na manyoya.pelt
2 vt,vi 1 ~ something (at somebody), ~ somebody (with something) shambulia kwa kutupia vitu k.v. mawe n.k. tupia (mawe, matope n.k.), vurumishia, rujumu. 2 (of rain) nya sana, nyesha kwa nguvu n at full ~ kwa kasi zote, haraka iwezekanavyo.