peer
peer
1 n 1 mwenzi, aliye sawa (kwa cheo n.k.) you will not find his ~ hutaona mfano wake. ~ group n rika. peerless adj bila kifani. 2 (GB) lodi; mwinyi; mwanachama wa Baraza Kuu. peeress lodi mwanamke; mke wa lodi. peerage n 1 (GB) mamwinyi; malodi. 2 umwinyi. raise somebody to the ~age teua kuwa lodi. 3 kitabu cha orodha ya mamwinyi.peer
2 vi ~ (at/into) kazia macho, angalia kwa makini.