peep
peep
1 vi lia (kama kinda la ndege au panya). n chi-chi: mlio wa kinda la ndege au panya.peep
2 vi 1 ~ (at) chungulia kwa kuibia. ~ing Tom n mtu achunguliaye watu kwa siri (bila wao kutambua). 2 chomoza, onekana (kwa sehemu tu) the sun ~ed out from behind the clouds jua lilichomoza kidogo tu katika mawingu. n 1 kuchungulia kwa kuibia. 2 mapambazuko, mwanzo. peep-hole n tundu la kuchungulia. peep-show n nelikioo (ya filamu), (maonyesho yaliyomo ndani ya kisanduku chenye tundu). peeper n 1 mtu achunguliaye. 2 (sl) jicho.