pedestrian

n mwenda/mtembea kwa miguu adj 1 -a kuhusu kwenda kwa miguu. ~ crossing n kivuko cha wenda kwa miguu (barabarani). 2 (of writing/speech) -iso na mvuto; zito.