pedant

n kalallahu: mtu ashikiliaye sana elimu ya vitabuni, elimu ya ufundi, na kushikilia mno sheria. pedantic adj -enye kushikilia sana elimu ya vitabuni na sheria. pedantry n tabia ya kutawaliwa na kanuni na elimu ya vitabuni.