peculiar

adj 1 -a pekee. 2 ~ (to) -a kupatikana/kutumika tu an animal ~ to Africa mnyama anayepatikana Afrika tu. 3 (strange) geni, ajabu. peculiarity n 1 hali ya kitu kuwa cha pekee sana. 2 sifa au kitu bainishi; kitu cha ajabu, kioja. peculiarly adv.