peck

peck

1 n 1 kipimo cha vitu vikavu (lita 9.091). 2 (fig) a ~ of troubles matatizo mengi.

peck

2 vt,vi 1 ~at donoa, gogota; (colloq) onjaonja chakula. ~ing order n mpangilio wa nafasi katika jamii (kufuatana na nguvu, hadhi n.k.). 2 fanya/pata kwa kudonoa. 3 (colloq) busu mara moja. n 1 mdonoo, udonoaji. 2 busu la haraka (lisilo na mapenzi). pecker n (GB sl) pua; (US sl) dhakari. keep your ~ er up changamka; usikate tamaa. ~ ish adj -enye njaa.