pearl

n lulu vi 1 tafuta lulu; chomeka/ pamba lulu. pearl-barley n shayiri iliyo katika umbo la punje ndogondogo kama lulu. ~-diver; ~-fisher n mzamia lulu. pearloyster n chaza/kombe lulu. ~ies n vifungo vya rangi ya lulu. pearl-shell n kombe ya lulu. pearl-white n nyeupe pe. pearly adj -enye umbo kama lulu, -enye kutoa lulu. cast ~s before swine toa kitu cha thamani kabisa kwa mtu asiyekithamini.