pay

vt,vi 1 lipa; lipia. 2 pa zawadi; fidia. 3 lipa deni. put paid to something komesha, maliza ~ a visit enda kutazama, tembelea, zuru. ~ a compliment to salimu, sifu. 4 ~ (to) toa/pa heshima; jali. 5 n (phrases) ~ one's way lipa kila kitu, -toingia kwenye madeni. ~ as you earn (abbr PAYE) kodi ya mapato (inayokatwa kwenye mshahara). payable adj 1 -a kulipwa ~able on demand -a kulipwa idaiwapo ~able to bearer -a kulipwa kwa aliye nayo. payee n mtu wa kulipwa, mlipwaji. payer n mtu wa kulipwa, mlipaji. 6 (with adv particles and preps) ~ something back rudisha (pesa n.k.). ~somebody back/out for something lipiza kisasi, adhibu. ~ for lipa, lipia; adhibika kwa. ~ something weka fedha benki/katika akaunti. ~ somebody off lipa na kuachisha kazi; lipa malipo/madeni yote. ~ out lipa/tumia fedha; (naut) legeza/achia kamba. ~ up lipa yote. ~ dirt n udongo wenye madini. ~ load n shehena ya kulipiwa (k.v. mizigo, abiria n.k.); bomu katika kombora. paymaster n mlipaji. ~ master general n mkuu wa idara ya mishahara hazina. ~ off n saa ya kumaliza deni/kulipiza kisasi. ~office n ofisi ya mishahara. ~ packet n (bahasha ya) mshahara. ~ phone/station n (US) kibanda cha simu. ~ roll/sheet n orodha ya wapokea mshahara. ~ slip n karatasi ya maelezo ya mshahara na makato yake. payment n malipo; kulipa deferred ~ment malipo yaliyoa-hirishwa. ~ment voucher n hati ya malipo.