pause

n kituo; mapumziko, pauzi. give ~ to fanya (mtu) asite na afikirie kwanza he made a ~ alisita, alitua kwa muda. vt tua kwa muda, pumzika kidogo.