patter
patter
1 vt,vi tarakanya/taraganya, sema upesi upesi (bila kufikiri maana ya maneno). n 1 lugha ya kikundi cha watu fulani (k.m. wezi n.k.). 2 utaraganyo/mtarakanyo.patter
2 vi fanya vishindo vidogovidogo (k.m. kwa kutembea). n vishindo vidogovidogo vya mfulizo the ~ of footsteps on a floor vishindo vya mtu anayetembea kwenye sakafu.