patron

n 1 mlezi. 2 (rel) ~ saint n mtakatifu mlezi. 3 mteja wa kila siku katika duka. patroness n mlezi, (wa kike). patronage n 1 ulezi; uungwaji mkono na mlezi. 2 haki/mamlaka ya kuteua watu. 3 udhalilishaji. 4 uteja (wa kudumu). patronize vt 1 lea, linda. 2 dhalilisha. 3 wa mteja wa (mara kwa mara). patronizing adj. patronizingly adv. patronymic n jina la ukoo adj -a jina la ukoo.