patriarch

n 1 (mwanamume) mkuu wa familia au ukoo. 2 babu; mzee wa umri mkubwa anayeheshimika sana. 3 (rel) askofu mkuu. patriarchal adj. ~ ate n chuo cha askofu mkuu; makao ya askofu mkuu.