paternal

adj 1 -a baba, -a kama baba. 2 -a kuumeni. paternally adv. paternalism n kukimu watu bila kuwapa madaraka, kutawala watu kama watoto. paternity n ubaba, kuumeni paternity suit madai ya ubaba, kudai ubaba. paternoster n (rel) 1 Baba Yetu, sala ya Bwana.