patent

adj 1 wazi, dhahiri, bayana ~ ambiguity utata dhahiri ~ defect dosari dhahiri. 2 letters ~ n amri ya serikali ya kuruhusu utengenezaji wa kitu kilichogunduliwa na kukilinda kisiigwe na watu wengine. 3 -enye kulindwa na serikali isiigwe na watu wengine. 4 ~ leather n ngozi iliyopakwa rangi ngumu inayong'aa sana. 5 -a asili; -a akili; -a mtu mmoja peke yake. patently adv wazi. n 1 hataza: kibali rasmi kilichotolewa kwa kutengeneza bidhaa. 2 chombo kipya au namna mpya ya kufanyiza bidhaa n.k.. ~ office n ofisi ya hataza ~ agent n hataza. vt andikisha hataza. patentee n mwenye hataza.