patch

n 1 kiraka. ~ pocket n mfuko wa kiraka. 2 plasta (ya kufungia kidonda). 3 kitambaa/pamba ya kufunga kwenye jicho lililoumia. 4 kidoa. 5 kiwanja, shamba dogo, kiunga, konde. 6 not a ~ on haifikii hata kidogo. 7 go through/hit/ strike a bad ~ wa/fikia wakati wa mkosi/mgumu wa majonzi. patchwork n nguo iliyoundwa kwa viraka mbalimbali vya nguo; (fig) kazi iliyofanywa kwa kuchanganya vitu vidogovidogo. vt 1 tia kiraka. 2 ~ up tengeneza, chomelea, unganisha- unganisha ~ up a quarrel patana; patanisha kwa muda. patchy adj. patchily adv. patchiness n.