pat
pat
1 n 1 kikofi (cha kuonyesha upendo, kupongeza, kushangilia, furaha n.k.). 2 kishindo kidogo (kama cha kupiga kwa kitu bapa). 3 kibonge, hasa cha siagi. vt, vi pigapiga (kwa kikofi); papasa ~ on the back pongeza, shangilia. ~ oneself on the back jipongeza.pat
2 adv kwa wakati ufaao, mara moja, bila kusita; sawia; papo hapo, papo kwa papo, mara. stand ~ kataa kubadili (msimamo/uamuzi), shikilia msimamo.