pastor

n (rel) 1 mchungaji. pastoral adj,n 1 -a ufugaji, -a kuchunga n.k.; (rural) -a maisha ya shamba. ~al poem n shairi kuhusu maisha ya shamba. 2 -a mchungaji, -a askofu (rel) ~al letter barua ya askofu ~al staff fimbo ya askofu ~ al responsibilities wajibu wa mchungaji. pastoralist n mchungaji, mfugaji. pastorate n 1 (rel) upadre, ukasisi, uchungaji. 2 jumuia ya wachungaji.