paste

n 1 lahamu; gundi. 2mchanganyiko laini wa unga na maji (wa kugandamishia karatasi n.k.). ~ board kitu laini mfano wa ubao kilichotengenezwa kwa kuganda- manisha karatasi nyingi pamoja. 3 vyakula vilivyopondwa na kuwa laini. 4 (poetic) embwe. 5 (of artificial gems) vitobandia. vt 1 gandamishia. ~ something down shikiza kwa gundi. ~something up bandika/funga kwa gundi; (of printing) tengeneza kurasa za kitabu (kabla ya kuchapisha). 2 (colloq) twanga, kung'uta, ambatisha kwa mchanganyiko.