past

adj 1 -liopita, -a zamani. ~master n mtu mwenye kumbukumbu au utaalamu mkubwa juu ya kitu/somo. 2 (gram) ~ tense n -a wakati uliopita. the ~ n. 1 zamani, mambo ya zamani yaliyopita, wakati uliopita. 2 maisha ya nyuma (ya mtu). 3 (gram) wakati uliopita prep & adv 1 kupita it is half ~ two ni saa nane na nusu. 2 kufikia na kupita umbali wa ~ the butcher's shop kupita mbele ya duka la nyama. be/get ~ it (colloq) toweza tena kufanya ya zamani. 3 kuvuka kiwango (cha kufanya kitu) the old man is ~ work mzee amevuka kiwango cha kufanya kazi/amekuwa mzee mno kuweza kufanya kazi I'am ~ doing such things siwezi tena kufanya vitu hivi.