passive

adj -a kutoonyesha hisia, -a kukaa tu, baridi.~ resistance n upinzani wa kimyakimya, baridi (gram) ~ voice kauli ya kutendwa; kauli iliyotajwa. passively adv. passiveness n. passivity n.