passion

n 1 hisia kali; (of anger) hamaki; (of love) uchu, mapenzi makali; mlipuko wa hamaki fly into a ~ kasirika sana. 2 the P ~ n mateso ya Yesu Kristo. P~ Sunday n Jumapili ya Mateso. P~ Week n Wiki ya Mateso (ya Yesu Kristo). passion-flower n ua la mkarakara. ~-fruit n karakara. passionless adj. passionate adj -enye kutekwa na hisia kali, -enye kujawa na/-enye kuonyesha hisia kali, shauku, n.k. passionately adv.