party

n 1 chama. ~ spirit n moyo na ushabiki wa chama (hasa cha kisiasa). multi ~ system n mfumo wa vyama vingi. 2 mojawapo wa watu/upande (katika ugomvi, mashauri, daawa). ~ wall n ukuta wa mpaka. 3 ushirika, kikosi (hasa cha shughuli, kazi). 4 dhifa, karamu. lack the ~ spirit -tofurahia karamu. make up a ~ ungana kwa ajili ya karamu. 5 mshiriki. 6 (hum) mtu.