particular

adj 1 -a pekee. 2 maalumu, mahsusi. in ~ hasa. 3 -enyewe hasa, halisi, kamili kabisa. 4 ~ (about/over) -enye kuchagua sana, -enye kujali sana; angalifu juu ya; gumu kuridhisha. n habari kwa urefu ukamilifu. go into ~s toa habari kwa urefu/ukamilifu. particularly adv zaidi, hasa. particularity n ukamilifu. particularize vt,vi taja, orodhesha; pambanua.