part

n 1 sehemu, kipande, kiasi. for the most ~ kwa kiasi kikubwa. in ~ kwa kiasi fulani. ~ owner n mmiliki bia. part-time adj -a muda maalumu. part-timer n mfanyakazi wa muda maalumu. 2 (pl) janibu. 3 nafasi, wajibu. play a big/small ~ (in something) -wa mshiriki mkuu/-wa na nafasi kubwa/ndogo (katika). take ~ (in) shiriki. 4 upande. for my ~ kwa upande wangu. take someone's ~ unga mkono. 5 take something in good ~ chukulia kitu vizuri/bila kinyongo. 6 (spare) ~ kipuri, spea. 7 (gram) aina. ~s of speech n aina za maneno. 8 person of many ~s mtu mwenye vipaji vingi. 9 (mus) sauti. partly adv. vt,vi 1 gawa; tenga. 2 ~ with acha, achia; achanisha; achana na. 3 ~ one's hair piga wei. parting n 1 wei, mpaka (wa nywele). 2 mfarakano; kuagana, kuachana, kuondoka. at the ~ing of the ways njia panda; (fig) wakati wa kuchagua. partial adj 1 -a sehemu, -sio kamili, -a kiasi. 2 ~ial (towards) -a kupendelea. 3 ~ial to a kupenda/kupendelea. partially adv. partiality n 1 pendeleo. 2 ~iality for kupenda. partition n 1 kugawanywa; mgawanyo The P~ition of Africa kugawanywa kwa Afrika. 2 kitenganishi. 3 sehemu, chumba. partitive n,adj (-a) kugawa, (-a) kutenga.