parole

n ahadi ya mfungwa kutotoroka; kifungo cha nje. on ~ achiwa huru baada ya kutoa ahadi hiyo. break one's ~ vunja ahadi kwa kujaribu kutoroka. vt achia mfungwa baada ya kutoa ahadi hiyo.