parlour

,(US)parlor n 1 ukumbi,sebule. ~ maid n (not US) kijakazi angojaye meza; (GB) mhudumu wa mezani. ~ games n michezo ya ndani (ya nyumba). 2 (esp US) chumba cha kupokelea wageni. 3 chumba cha wateja. ~-car n (US) behewa la starehe.