park

n 1 bustani. ball ~ n (US) kiwanja cha michezo.2 mbuga zinazozunguka nyumba ya shamba. 3 car ~ n maegesho ya magari. 4 national ~ n mbuga za taifa. 5 (mil) kiwanja cha kuwekea mizinga na zana. vt,vi 1 egesha. 2 (colloq) weka kitu mahali. ~ ing lot n maegesho. ~ ing meter n mita ya maegesho. ~ ing n maegesho.