parish

n parokia. ~ pump adj (usu attrib) -a kuhusu mtaa/sehemu ile. ~-register n kitabu cha parokia. civil ~ n mtaa (katika serikali ya mitaa). parishioner n mkazi wa parokia. go on the ~ pata msaada (wa chakula n.k.).