parcel

n 1 kifurushi. ~ post n upelekaji vifurushi kwa posta. 2 part and ~ of sehemu muhimu ya. a ~ of land sehemu ya ardhi. vt ~ out gawa katika mafungu. ~ up funga vifurushi.