parallel

adj (of lines) lio sambamba. ~ bars n nguzo zilizo sambamba (kwa ajili ya michezo ya viungo) n 1 msambamba. ~ of latitude msambamba wa latitudo. 2 mfano, kifani without ~ -sio na kifani. 3 kufananisha, mlinganisho. vt 1 fananisha. 2 -wa sambamba. parallelism n (lit or fig) usambamba. parallelogram n msambamba.