parade

vi,vt 1 (of troops) kusanya (kwa ajili ya gwaride; ukaguzi n.k.); fanya gwaride. 2 onyesha, tembeza. n 1 gwaride. ~ ground n uwanja wa gwaride. 2 maonyesho. make a ~ of one's virtues jaribu kuwavutia watu kwa kujionyesha. 3 njia ya matembezi aghalabu pwani.