papier-mache

n pepamashi: karatasi zilizosagwa au kukatwakatwa na kulowekwa maji zikafanywa kama plasta ya kutengeneza vitu k.m. trei n.k.