paper
n 1 karatasi a ~ bag mfuko wa karatasi. (be/look) good on ~ onekana zuri katika karatasi/ kinadharia/kimaandishi. put pen to ~ (dated for) anza kuandika. ~ backed adj (of books) liojalidiwa kwa karatasi. ~ back n kitabu chenye jalada la karatasi. ~ hanger n mgundisha karatasi ukutani. ~ knife n kisu cha kukatia/kufungulia barua. ~ tiger n tishio la bure tu. ~ mill n kiwanda cha karatasi. ~ weight n uzito wa kukinga karatasi (zisipeperushwe). 2 news ~ n gazeti. 3 ~ money n noti. 4 (pl) hati (ya kuonyesha cheo cha mtu). ~ work n urasimu, kazi ya mafaili send in one's ~s (mil) jiuzulu. 5 maswali/karatasi ya mtihani. 6 makala. vt bandika karatasi (ukutani); funika kwa karatasi. ~ over the cracks (fig) setiri/ficha makosa. ~ the house toa tiketi za bure kwa mchezo (ili kurubuni watu). paper-stainer n mtengenezaji wa viungo vya karatasi. papery adj -a makaratasi.