paparazo

n paparazi mwandishi wa habari au mpigapicha anayewaganda/fuatafuata watu mashuhuri kupata habari motomoto au picha teule.