pantograph

n 1 pantografu: chombo cha kunakilia mchoro au ramani. 2 chombo cha kupokelea umeme ndani ya gari (toka waya za juu).