pantheism

n kuabudu miungu wengi; imani kuwa Mungu yumo ndani ya wengi; imani kuwa Mungu yumo ndani ya kila kitu na kuwa kila kitu ni Mungu. pantheist n mwabudu- miungu. pantheistic adj -a kuabudu miungu. pantheon n 1 hekalu la miungu yote. 2 miungu yote ya dini fulani.